Home Habar za Usajili Simba DILI LA IDUMBA KUTUA SIMBA LIMEFIKIA HATUA HII…UNAAMBIWA NI BEKI HASWA…MAYELE HAPITI…

DILI LA IDUMBA KUTUA SIMBA LIMEFIKIA HATUA HII…UNAAMBIWA NI BEKI HASWA…MAYELE HAPITI…

Simba SC na Cape Town City, zimefikia Makubaliano ya kuuziana Beki wa Kati raia wa DRC Congo Nathan Idumba Fasika, Uhamisho wa Nyota huyo unakadiriwa kukamilika mwishoni mwa msimu ili kumpa nafasi Idumba amalize kuitumikia mkataba wake na  Cape Town City .

Kinachoendelea sasa ni Makubaliano binafsi na Beki huyo juu ya Mshahara wake na Simba sc.

Simba sc wakifanikiwa kumnasa Idumba watatengeneza pacha ya Inonga na Idumba ambao wamewai kucheza pamoja.

SOMA NA HII  KUHUSU YANGA KUJAZA UWANJA RWANDA, WACHAMBUZI WASEMA HAYA