Home Habari za michezo BAADA YA KUBANIWA NA MAN CITY KWENYE EPL..JE LIVERPOOL WATATOBOA UEFA MBELE...

BAADA YA KUBANIWA NA MAN CITY KWENYE EPL..JE LIVERPOOL WATATOBOA UEFA MBELE YA MADRID..?..MZIGO MZIMA UKO HAPA..


@dstvtanzania haipoi haiboi! Baada ya Liverpool kupoteza kombe la #EPL Jumamosi hii anakipiga dhidi ya Real Madrid kwenye fainali ya #UEFA!

Je ataweza kupata kombe hilo au Real Madrid watakaza? Kutazama fainali hii lipia kifurushi chako cha Compact sh 51,000 tu ili ufurahie mechi hii ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kifurushi chako.

#DStvEwaaaah

#Birianiiendelee

SOMA NA HII  YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO