Home Habari za michezo YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO

YANGA WATOA TAARIFA HII MPYA MAPEMA LEO

Yanga iko mbioni kuzindua jezi maalum itakayotumika kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuanzia hatua ya makundi.

Sheria Ngowi ambaye ndiye mbunifu wa jezi za Yanga, amesema uzi huo ni bora zaidi ya ule waliotumia kwenye kombe la Shirikisho msimu uliopita.

Sheria amejipambanua kwa ubora wa kazi yake kwani tangu aanze kubuni jezi za Yanga hajawahi kuwaangusha Wananchi.

SOMA NA HII  KOCHA SIMBA APIGILIA MSUMARI SAKATA LA CHAMA