Home Habari za michezo ‘MPAPATUKO’ WA NBC PREMIER LEAGUE KUENDELEA TENA LEO…RATIBA NZIMA IKO HAPA….

‘MPAPATUKO’ WA NBC PREMIER LEAGUE KUENDELEA TENA LEO…RATIBA NZIMA IKO HAPA….


MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili.

Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.

Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu.

Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri

SOMA NA HII  KUFURU GSM...YANGA YAMWEKEA MSUVA TSH ML 500...,SIMBA WAIANYIA UMAFIA YANGA KWA CHAMA....