Home Habari za michezo ‘KIPENSI’ CHA RONALDO CHAZUA GUMZO MTANDAONI…KOCHA MAN UTD AMKAZIA KUSEPA ‘OT’…CHELSEA WAMKATAA…

‘KIPENSI’ CHA RONALDO CHAZUA GUMZO MTANDAONI…KOCHA MAN UTD AMKAZIA KUSEPA ‘OT’…CHELSEA WAMKATAA…


Cristiano Ronaldo amevunja ukimya baada ya kutuma picha kwenye mitandao yake ya kijamii akiwa amevalia jezi ya kaptula ya Manchester United huku akifanya mazoezi.

Picha hiyo imemuonyesha Ronaldo akiwa bize na matizi ‘Gym’ licha ya kukosa ziara ya Man United, ya kujiandaa na msimu mpya kutokana na matatizo ya kifamilia.

Aidha mashabiki wametabiri huenda Ronaldo akabaki, baada ya kuvaa kaptula ya Man United,  iliyoashiria mambo mengi kuhuhu hatima yake.

Licha ya Ronaldo kuweka wazi hana mpango kukipiga Old Tafford kocha wa Ma United, Erik ten Hag amesisitiza staa huyo hauzwi na ataendelea kuwepo kwaajili ya msimu huu unaokuja.

Wakati huo huo Thomas Tuchel amesema Chelsea haina mpango wa kumsajili Ronaldo, baada ya kuhusishwa na nyota huyo wa Kimataifa wa Ureno.

SOMA NA HII  TETESI ZA USAJILI: KUHUSU ISHU YA KUTAKIWA SIMBA...NASHON AANIKA MCHONGO WOTE JINSI ULIVYO...