Home Burudani ULE UKAKA NA UDADA WA BABA LEVO NA SHILOLE KESHO UKO TENA...

ULE UKAKA NA UDADA WA BABA LEVO NA SHILOLE KESHO UKO TENA HEWANI NDANI YA DStv….MSELELEKO NI ULE ULE AISEE…

Baba Levo anakwambia usichukulie Poa vitu vya Poa, akikukumbusha kuwa Ijumaa hii tutachill nae pamoja na dada ake kipenzi Shilole ndani ya kipindi cha Maskini Poa.


Tazama kipindi hiki kila siku za  Ijumaa saa 3 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Poa 144 inayopatikana kuanzia kifurushi cha Poa kwa 9,900/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi kifurushi chako ili usikose burudani hii.
#DStvEwaaaaah
SOMA NA HII  WAKATI YA FEI TOTO HAJATULIA.....KIGOGO SIMBA AIBUKA NA HILI KUHUSU BACCA...AWATONYA YANGA HAYA ...