Home Habari za michezo YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA…HAKUNA TIMU ILIYOWAHI…AFRIKA YATETEMA

YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA…HAKUNA TIMU ILIYOWAHI…AFRIKA YATETEMA

YANGA YAWEKA REKODI HII MPYA...HAKUNA TIMU ILIYOWAHI...AFRIKA YATETEMA

Record Ya Taifa
Record Ya Tanzania

Haijawahi Team yoyote, narudia Team yoyote kutoka Tanzania kumfunga MAZEMBE nje ndani

RECORD

Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF

2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023, Yanga Africans, Tanzania. Na kufikisha Points KUMI NA TATU (13) ktk Group Stage ya Mashindano ya Vilabu Africa

Heshma kwenu Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa Rekodi hii kuwekwa,Thanks Viongozi,Wanachama na Washabiki wote,mmeletea heshma mpya katika football ya Tanzania
Hawa ndio Yanga sasa.

SOMA NA HII  GAMONDI AWATULIZA MASHABIKI YANGA,...... UBINGWA UNABAKIA JANGWA MAMBO HADHARANI