Home Uncategorized CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO

CAF WASITISHA ISHU YA AS VITA KUTIA TIMU BONGO


IMEELEZWA kuwa Uongozi wa As Vita umesitisha mpango wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Yanga.

Yanga ilipanga kucheza mchezo wa kirafiki siku ya kilele cha wananchi Agosti 4 uwanja wa Taifa.

Taarifa zinaeleza kuwa kutokana na kutoka kwa ratiba ya michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Caf huku ikionyesha kuwa kati ya Agosti 9,10,11 AS Vita wakwenda Cameroon kucheza na USM De Loum na kurejea wiki moja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiono hivyo itakuwa ngumu kwao kucheza mchezo wa kirafiki.

SOMA NA HII  RAIS SAMIA AIUNGA MKONO TAIFA STARS KWA STAILI HII