Home Habari za michezo USAJILI SIMBA WAMSONONESHA TUNDA MAN….ADAI YUKO TAYARI KUTEMBEZA BAKULI LA KUPATA PESA...

USAJILI SIMBA WAMSONONESHA TUNDA MAN….ADAI YUKO TAYARI KUTEMBEZA BAKULI LA KUPATA PESA ZA USAJILI…


Msanii na shabiki wa Klabu ya Simba Tundaman amesema yupo tayari kupitisha bakuli la kuchangia timu yake kufanya usajili mkubwa kama walivyozoea.

“Katika asilimia 100 Simba wamenifurahisha kidogo tu kama asilimia 4, viongozi wangu nina wito hapa kama wamefeli vibunda hawana weseme Tundaman kuna jukwaa Mwanza nafanya show hata za bukubuku kuchangia mchezaji fulani”.

“Nipo radhi kupitisha bakuli Simba sisi ndio wenye timu” ameongeza Tundaman 

Mpaka leo , Simba imetambulisha wachezaji wawili tu wa Kimataifa akiwemo Straika Moses Phiri na Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah

SOMA NA HII  SASA UNAWEZA KUSHINDA MPAKA MARA 150 YA DAU LAKO KUPITIA SLOTI HII YA KIJANJA...