Home CAF KOSA KOSA ZA GOLI ZAUA SHABIKI UWANJANI….

KOSA KOSA ZA GOLI ZAUA SHABIKI UWANJANI….

Shabiki wa AS Vita aliyefahamika kwa jina la Eulethere Bidikamona (57) alipoteza maisha juzi baada kosakosa ya goli katika nafasi ya mwisho katika ya mchezo wa marudiano dhidi RC Kadiogo mechi iliyoamuliwa kwa mikwaju ya penati.

Mpira uligonga nguzo ya kulia ya lango la Kadiogo katika dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza.

As Vita walifanikiwa kutinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju ya Penati 4-3.

SOMA NA HII  JEMBE LA NABI LAMKOSHA GAMONDI, MWAMBA AREJEA KUNDINI