Home Burudani FEI TOTO NA Infinix WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA #PigaUtoboe…

FEI TOTO NA Infinix WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA #PigaUtoboe…

Kampeni Maarufu ya #PigaUtoboe imezidi kunogeshwa na matukio mawili makuu yaliyofanyika jana pale Mlimani City. Tukio la kwanza lilikuwa ni la ukabidhiji wa zawadi kwa washindi wa shindano la kubashiri kwa kila mechi zinalizochezwa kwa siku ni team gani itaibuka na ushindi.

Washindi walipata fursa ya kukabidhiwa zawadi na Mchezaji Maarufu anayekipiga Club ya Yanga Bwana Feisal Salum ‘Fei Toto’, Vile vile Fei toto amewataka vijana kuendelea kubashiri kupitia ukurasa wa Instagram @infinixmobiletz ili kujishindia vifaa vya michezo na Mabeg ya kisasa yenye nembo ya Infinix.

Tukio la pili na la kusisimua zaidi ni Ushindi mnono walio lala nao baadhi ya wateja waliojishindia TV inch 65 na Friji kubwa ya kisasa, washindi hawa wanaofahamika kwa majina Grace, Judithi na Iddy Omary wamejishindia zawadi hizi baada ya kufanya manunuzi ya simu kati ya hizi Infinix NOTE 12, NOTE 12 vip, ZERO ULTRA na HOT 12.

Droo hii ya kwanza ya kuwapata washindi hawa ilifanyika mubashara kupitia ukurasa wa Instagram @infinixmobiletz na kwa mujjibu wa Afisa Mahusiano Infinix Bwana Eric Mkomoye aliwaeleza wateja wengine kuwa zawadi bado zipo nyingi sana na promosheni hii inaendelea hadi Tarehe 4/1/2023 chakufanya ili uwe miongoni mwa washindi wa zawadi hizi nunua simu zetu pendwa katika duka lolote la simu nchi nzima.

Washindi wameonesha kufurahia kupata zawadi na kupata nafasi ya kukutana na mchezaji wao pendwa, Hata wewe unaweza kutimiza ndoto zako kabla ya mwaka kuisha, Unachotakiwa kufanya ni kufika kwenye maduka yetu nunua simu na upate nafasi ya kushinda zawadi kem kem lakini pia unaweza kushiriki kenye challenge ya Piga Utoboe inayoendeshwa kwenye ukurasa wa instagram wa @Infinixmobiletz shiriki na umalize mwaka ukiwa umetoboa.

Piga 0712602970 kwa huduma ya haraka.

SOMA NA HII  SAKATA LA KUSIMAMISHWA MENEJA UWANJA WA MKAPA....MASHABIKI SIMBA NA YANGA WATAJWA KUWA SABABU...