Home Habari za michezo TETESI: WAKATI SIMBA WAKIMKANA LUIS…YANGA WAAMUA KWELI…MCHONGO UKO HIVI…

TETESI: WAKATI SIMBA WAKIMKANA LUIS…YANGA WAAMUA KWELI…MCHONGO UKO HIVI…

Tetesi za Usajili Simba

Baada ya kusambaa kwa taarifa za Simba SC kutaka kumrejesha winga wao Jose Luis Miquissone ndani ya Msimbazi.

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga nao wameingilia kati sakata la mchezaji huyo ili aimarishe kikosi chao ambacho kinajiandaa na hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Kwa upande wa Simba inshu ikiwa ni kiwango kikubwa cha mshahara anacholipwa nyota huyo, ila kwa mabosi wa Yanga wametenga dau nono liliwashtua mabosi wa Al Ahly.

Miquissone amekosa nafasi ya uhakika tangu alipotua katika kikosi cha Al Ahly akitokea Simba SC na msimu uliopita alitolewa kwa mkopo.

SOMA NA HII  MTAMBO WA MABAO YANGA RUKSA KUWAVAA BIASHARA UNITED