Home Habari za michezo MASTAA YANGA WATIKISA TUNISIA…TIZI LAO LAWA GUMZO KOTE…(PICHA)

MASTAA YANGA WATIKISA TUNISIA…TIZI LAO LAWA GUMZO KOTE…(PICHA)

Habari za Yanga

Kikosi cha Yanga rasmi kimeanza mazoezi nchini Tunisia, baada ya kuwasili mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam-Tanzania.

Kurasa za Mitandao ya Kijamii za Yanga zimethibitisha taarifa za kuanza kwa maandalizi ya kikosi cha klabu hiyo, kwa kuweka picha za Wachezaji wakiwa Uwanja wa mazoezi.

Picha za mazoezi ya wachezaji ya Yanga imeambatana na ujumbe unaosomeka: “Tumeanza mazoezi rasmi kuelekea mchezo wetu wa kwanza #cafconfederationcup ugenini dhidi ya US Monastir Jumapili”

SOMA NA HII  WAKATI USAJILI UKIZIDI KUSHIKA....YAO KOUASSI AIBUKA NA HILI JIPYA YANGA....