Home Uncategorized ISHU YA MABADILIKO NDANI YA SIMBA KUMBE SERIKALI HAIHUSIKI, YAWATAJA WANAOKWAMISHA MPANGO...

ISHU YA MABADILIKO NDANI YA SIMBA KUMBE SERIKALI HAIHUSIKI, YAWATAJA WANAOKWAMISHA MPANGO HUO


SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa timu hiyo ambao waliweka wazi kwamba wanakwamishwa na Serikali.


Simba kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuelekea kwenye mabadiliko ambao bado haijakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi wa timu hiyo kushindwa kukamilisha taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Taarifa iliyotolewa leo Novemba 19 imeeleza namna hii:-



SOMA NA HII  HIMID MAO:NILIPATA MUDA WA KUNUNUA MSOSI