Home Uncategorized MKAKATI WA AZAM FC MBELE YA MBAO FC NI NOMA

MKAKATI WA AZAM FC MBELE YA MBAO FC NI NOMA



UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Mbao FC.


Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa ametumia muda mchache kuwaunganisha wachezaji wake ia wataifuata Mbao kwa tahadhari.

“Tumetoka kumalizana na Alliance hvyo unaona wazi kwamba ratiba imebana lakini imani yetu ni kuona kwamba tunapaya matokeo,” amesema.

Mwezi Februari ndani ya ligi Yanga ililazimisha sare nne mfululizo ambapo ilianza mbele ya Mbeya City kwa kufngana bao 1-1, Prisons bila kufungana, Tanzania Polisi na Coastal Union.
SOMA NA HII  VIDEO: WAZIRI MWAKYEMBE KUHUSU LIGI ITAKAVYOCHEZWA