Home Habari za michezo WAKATI MORRISON ‘AKILA BATA’..MUSONDA AZIDI KUING’ARISHA YANGA KIMATAIFA…ACHAGULIWA CAF…

WAKATI MORRISON ‘AKILA BATA’..MUSONDA AZIDI KUING’ARISHA YANGA KIMATAIFA…ACHAGULIWA CAF…

Habari za Yanga

Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia na Yanga SC, Kennedy Musonda Jr ameingia kwenye Timu ya Wiki ya #CAFCC baada ya kuisaidia klabu yake kushinda 3-1 dhidi ya TP Mazembe huku akihusika kwenye mabao mawili ya Yanga SC.

Katika mchezo dhidi ya Mazembe Musonda alifunga bao la kwanza na kutoa pasi ya bao la pili kwa Mudathir Yahaya.

Kikosi Bora Cha Wiki Kombe la Shirikisho Afrika kipo kama ifuatavyo;

Mlinda Mlango

  1. Ossama Benbot

Walinzi

  1. Souleymane Coulibaly
  2. Ngweni Ndasi
  3. Joslain Liwanda
  4. Chidiebube Duru

Viungo

  1. Philippe Kinzumbi
  2. Suhaib Suleiman
  3. Mohamed Rabie
  4. Kennedy Musonda

Washambuliaji

  1. Hamza Igamane
  2. Nyima Nwagua
SOMA NA HII  SHABIKI WA SIMBA ATOLEWA POLISI NA SHABIKI WA YANGA...AKABILIWA NA TUHUMA UCHOCHEZI