Klabu ya Kagera Sugar inayoshika nafasi ya saba kwenye msimamo wa LigiKuu imetoa wachezaji wanne kwenye timu ya taifa ya Tanzania kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Uganda.
Hatua hiyo imekuja siku chache tangu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania kumtangaza Kocha mpya wa Timu ya Taifa.
Wachezaji walioitwa wa Kagera ni Anuary Jabir, Datius Peter, David Luhende, Abdallah Mfuko.
Kwa miaka mingi Timu ya Taifa imekuwa ikitawaliwa na wachezaji kutoka timu za Simba na Yanga..
SOMA NA HII KISA SARE NA AZAM JANA ....MABOSI SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI...."MATOKEI SI MAZURI...."