Simon Msuva, akiwa Live na Wasafi FM, 🗣 kitu kinachoifanya Simba Sc kuonekana zaid Africa ni kufanya kwao vizur katika michuano ya CAF
Na jambo jingine ni kuwa na mashabiki wengi kila kona ya Africa hivyo ndio maana Simba Sc inakuwa ikionekana kuwa ni timu inayozungumzwa sana na CAF
Ndio maana hata kwenye mchezo wa msimu uliopita katika Fainali kati ya Wydad Casablca vs Al Ahlly kwenye mchezo huo ulionekana ukiwa na mashabiki wa Simba Sc wengi waliovaa jezi za Simba Sc wakiishangilia Al Ahly,
Hata kwenye mchezo wao Simba dhidi ya Orando msimu uliopita ilikuwa hivyo mashabiki wa Simba Sc walikuwepo wengi uwanjani licha ya kuwa walikuwa ugenini
Hiyo ndio maana ya timu kubwa inayopendwa na Wafrica wote
Kila nchi iliyo ndani ya Africa huwezi kuzikosa jezi za Simba Sc watu wamezivaa
Pongezi kwao Simba Sc kwa kufika robo fainali ni mafanikio makubwa kwa Timu kutoka Tanzania mara nyingi timu kutoka Tanzania huwa hazifiki hata makundi na zikifika zinashika nafasi ya mwisho katika kundi Simba kufika robo fainali wapongezwe ✍✊✊✊👹
Simba Sc, wajipange katika robo yao ngumu dhidi ya Mamelod, au Espérance, ya Tunisia
Kilichoipa nguvu Simba Sc ni Bilioni 1.8B za CAF pamoja na Milioni 200 za Mo Dewji, na Milioni tano tano za Mama Samia,Watanzania kwetu ni mafanikio kwa soka letu mwanzo mafanikio kama haya tulikuwa tukiyaona huko Misri, au Congo, ila miaka motano ya karibuni Simba wanatuletea hapahapa Tanzania 🤝