Home Habari za michezo SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO…WAPEWA RATIBA HII NGUMU…MECHI DHIDI YA RAJA CA

SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO…WAPEWA RATIBA HII NGUMU…MECHI DHIDI YA RAJA CA

SIMBA KUFANYIWA FIGISU MOROCCO...WAPEWA RATIBA HII NGUMU...MECHI DHIDI YA RAJA CA

Kikosi cha Simba kimeondoka nchini leo majira ya saa 11:00 asubuhi kuelekea Morocco tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca ambao utakuwa wa mwisho wa hatua ya makundi.

Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.

Simba na Raja wote wameshakata tiketi ya kuingia hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika ambayo Droo ya michezo ya Robo Fainali itachezeshwa Aprili 5 nchini Misri.

SOMA NA HII  KUELEKEA YANGA vs SIMBA...MANARA AMVAA TENA MO DEWJI...ADAI HANA CHUKI..." NITAFANYA PRESS KUBWA"..