Home Azam FC AZAM FC YATISHIWA USALAMA…MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA

AZAM FC YATISHIWA USALAMA…MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA

AZAM FC YATISHIWA USALAMA...MECHI DHIDI YA GOR MAHIA KUSITISHWA

Klabu ya Azam FC imesitisha safari yake ya Kenya kwenda kucheza na Gor Mahia Jumapili hii, kutokana na sababu za kiusalama.

Azam FC, mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Kombe la Kagame, walialikwa na wababe hao wa Kenya, Gor Mahia kwa ajili ya mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki uliopangwa kufanyika Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi.

Hata hivyo, mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya JKU ya Zanzibar utafanyika kama ilivyopangwa kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex saa 1.00 usiku.

SOMA NA HII  CLATOUS CHAMA...MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI...NITAONYESHA VITENDO ZAIDI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here