Home CAF MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA HUYU…ASHIKILIA...

MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR…WANANCHI WAMEPATA ZALI KWA REFA HUYU…ASHIKILIA HATIMA

MWAMUZI MECHI YA YANGA VS US MONASTIR...HUYU NI ZAIDI YA PILATO...ASHIKILIA HATIMA YA WANANCHI

Wakati Yanga wakijiandaa kuivaa US Monastir Kwa Mkapa wikiendi hii, huyu ndio mwamuzi atakaeamua hatima yao siku ya Jumapili.

Kwa upande wa Yanga watachezeshwa na refa wa kati, Alhadi Allaou Mahamat anayetokea Chad.

Yanga imepata zali kupangiwa mwamuzi huyu kwani timu zilizocheza nyumbani katika michezo tisa aliyochezesha ya kimataifa hakuna timu ya ugenini iliyoshinda, zimepoteza mara sita huku mitatu sare.

SOMA NA HII  KWA MARA YA KWANZA NABI AFUNGUKA...SABABU HIZI ZA KICHAPO CHA SIMBA