Home Uncategorized LIVE: SHEREHE ZA MAADHIMISHO, MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

LIVE: SHEREHE ZA MAADHIMISHO, MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Leo Januari 12, 2020 wananchi wa Zanzibar wanaadhimisha miaka 56 ya mapinduzi. Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mwaka 1964 ili kumuondoa madarakani Sultani wa Zanzibar na serikali yake, iliyoundwa hasa na Waarabu, na hatimaye kuweka uongozi mikononi mwa Waafrika, ambao ndio wengi visiwani humo

SOMA NA HII  VPL: YANGA 2-2 NDANDA