Home Uncategorized MTIBWA SUGAR WAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA USHINDANI

MTIBWA SUGAR WAPANIA KUSUKA KIKOSI CHA USHINDANI

UONGOZI wa Mtibwa Suar unesema kuwa msimu ujao wataboresha kikosi na kukifanya kiwe cha ushindani zaidi ya msimu uliomalizaka.

Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa kwa sasa wanapitia ripoti ya Kocha Mkuu Zuber Katwila.

“Msimu wa 2018/19 tulichechemea kidogo mwanzo ila kwa sasa tunajipanga kufanya makubwa zaidi msimu ujao, tunapitia ripoti kabla ya kuongeza wachezaji ama kupunguza,: amesema Kifaru.

SOMA NA HII  KOCHA YANGA ATAKA VIONGOZI WAJIEPUSHE NA SUALA LA USAJILI