Home Habari za michezo KIUNGO MSHAMBULIAJI WA SIMBA KUTIMKIA GEITA GOLD

KIUNGO MSHAMBULIAJI WA SIMBA KUTIMKIA GEITA GOLD

Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saidi Ntibazonkiza hayupo kwenye mipango ya klabu ya Simba kwa baada ya dirisha lijalo la usajili kupita na tayari klabu imempa taarifa.

Kutokana na hilo kiungo huyo anahusishwa na kuhitajika na Geita Gold na Dodoma Jiji ya Dodoma kwa uhamisho wa dirisha lijalo la usajili kutoka klabu ya Simba.

GGFC inatazamwa kama sehemu sahihi zaidi kwa mujibu wa kambi ya klabu ya Geita Gold FC na wataanza mazungumzo hivi karibuni ili kuipata saini ya Mchezaji huyo.

SOMA NA HII  SAA CHACHE BAADA YA KUTAMBULISHWA SIMBA...CHAMA ARUSHA 'KIJEMBE' YANGA...MKATABA WAKE UKO HIVI...