Home Habari za michezo PAMOJA NA TFF KUTOA MAAMUZI….YANGA WAMLIMA BARUA NZITO FEI TOTO…MSIMAMO WAO HUU...

PAMOJA NA TFF KUTOA MAAMUZI….YANGA WAMLIMA BARUA NZITO FEI TOTO…MSIMAMO WAO HUU HAPA…

Fei toto Yanga SC

Yanga imesema imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kuhusu suala la Mchezaji Feisal Salum ambapo baada ya kupokea maamuzi hayo, imemwandikia barua Feisal kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama Mchezaji halali wa Yanga mpaka May 30, 2024.

Klabu ya Yanga imesema iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba Wachezaji wake wanaofanya vizuri.

“Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea a mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na Wawakilishi wake juu ya kuboresha mkatabawake, kama wataridhia.”

Habari za Yanga

 

SOMA NA HII  MSHAMBULIAJI HUYU AWAOGOPA WANANCHI..."HAKUNA KITU KIGUMU KAMA KUCHEZA NA YANGA

1 COMMENT