Home Habari za michezo SIMBA WAIZIDI YANGA BONGO KWA REKODI HII MPYA…BALEKE AIZIDI KUSHINDILIA TAKWIMU…

SIMBA WAIZIDI YANGA BONGO KWA REKODI HII MPYA…BALEKE AIZIDI KUSHINDILIA TAKWIMU…

HABARI ZA SIMBA

Miamba ya soka Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC inaongoza kwa wachezaji wake kufunguka hat-trick msimu huu wa 2022/23.

Kati ya hat-trick sita zilizofungwa msimu huu nne zinatoka Msimbazi.

Mshambuliaji wa Simba, John Bocco amepiga hat-trick mbili ikiwa ni dhidi ya Ruvu na Prisons.

Ntibazonkiza na Jean Baleke wakipiga moja moja na hivyo kufikisha idafi ya nne.

Fiston Mayele (Yanga Sc vs Singida BS)
John Bocco (Simba Sc vs Ruvu Shooting)
John Bocco (Simba Sc vs Tanzania Prisons)
Said Ntibazonkiza (Simba Sc vs Tanzania Prisons)
Ibrahim Mkoko (Namungo vs KMC)
Jean Baleke (Simba vs Mtibwa Sugar).

SOMA NA HII  WAKATI YANGA WAKIMALIZANA NA OKRAH JUZI....WATURUKI KUMNYOFOA DIARA JANGWANI...