Home Habari za michezo SIMBA IJAYO ITAKUWA ZAIDI YA BARCELONA…”KOCHA MKUU ROBERTINHO

SIMBA IJAYO ITAKUWA ZAIDI YA BARCELONA…”KOCHA MKUU ROBERTINHO

USAJILI WA SIMBA WASHTUA...KOCHA MPYA ASHIKILIA MAFAILI YA MASTAA HAWA

Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema baada ya muda wa miezi minne aliyokaa na timu anaamini katika siku za baadae Simba itakuwa na kikosi imara.

Robertinho amesema timu hiyo inacheza kwa maelewano mazuri ikiwa na mpira hata isipokuwa nao na hilo ni jambo jema.

“Nina muda wa miezi minne hapa lakini hii timu itakuwa imara zaidi siku chache zijazo. Timu inacheza vizuri ikiwa na mpira na hata isipokuwa nao.“- Robertinho

SOMA NA HII  SHINDA MGAO WA DONGE NONO KUPITIA SLOT ZA BIG BASS NDANI YA MERIDIANBET...