Home Habari za michezo AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA YANGA…CHAMA AANGUKIA PUA SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

AZIZ KI AWEKA REKODI MPYA YANGA…CHAMA AANGUKIA PUA SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

VITA HII MPYA YAIBUKA YANGA...BACCA AMPASUA KICHWA JOB...ISHU NZIMA IKO HIVI

Stephane Aziz Ki amefunga mabao 4 katika Nbc Premier League tangu ulipoanza mwaka 2023, ni wachezaji wawili pekee waliofunga mabao mengi kuliko yeye kuanzia kipindi hicho hadi sasa.

Jean Baleke (7)
Alias Maguli (5)
Stephane Aziz Ki (4)

Ndiye mchezaji watatu kufunga hat trick katika Nbc Premier League tangu ulipoanza mwaka 2023, baada ya Ibrahim Ali (namungo) na Jean Baleke (Simba Sports Club).

Ndiye mchezaji watatu kuhusika katika mabao manne katika mchezo mmoja wa Nbc Premier League msimu huu, baada ya Fiston Mayele dhidi ya Singida Big Stars na Saidi Ntibazonkiza dhidi ya Tanzania Prison.

Takwimu zake katika Nbc Premier League msimu huu hadi sasa.
Mechi 20
Dakika 1286
Mabao 8

Pasi za mabao 3
Dakika kwa kila bao 161

SOMA NA HII  BANGALA KUIKOSA YANGA ISHU IKO HIVI