Home Habari za michezo MTANGAZJI CLOUDS FM AJIBU TUHUMA ZA MANARA KWA STAILI HII…AMPA ‘UBABA’…

MTANGAZJI CLOUDS FM AJIBU TUHUMA ZA MANARA KWA STAILI HII…AMPA ‘UBABA’…

Baada ya jana kushambuliwa katika mtandao wa Instagram wa Manara Mtangazaji wa Kituo cha Clouds FM Prisca Kishamba ameamua kimtindo kulizima bifu lake na aliyekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Prisca ameandika;

“Mwaka huu anatimiza miaka 50, Kama baba yangu Josephat kishamba angekua hai june 14 angetimiza miaka 51 hamuoni kama najibizana na baba yangu jamani? mwambieni baba sijapenda anachonifanyia nimeamua kumpa heshima yake ameshinda!”

SOMA NA HII  HIVI NDIVYO NBC PREMIER LEAGUE ILIVYOMALIZIKA KWA REKODI ZA KIBABE...