Home Habari za michezo WAKALA WA BALEKE AFICHUA KILA KITU…”SIDHANI KAMA ATABAKI SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

WAKALA WA BALEKE AFICHUA KILA KITU…”SIDHANI KAMA ATABAKI SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI

Habari za Simba SC

Wakala wa Jean Baleke athibitisha kuwa; hafikirii mchezaji huyo atabaki Simba SC zaidi ya mkataba wake wa mkopo.

Alisema: “Sidhani kama atabaki Simba. Aidha TP Mazembe itajaribu kumrudisha au kumuuza. Huu ndio ukweli

Aliongeza kuwa vilabu kutoka Asia na Ulaya vimeanza kufanya mawasiliano.

SOMA NA HII  MAMBO YAPO HIVI ISHU YA MKUDE KUONDOKA KAMBINI YANGA