Kasino ya Mtandaoni inayokupa ushindi wa uhakika na rahisi, Meridianbet imekuongezea sloti nyingine rahisi kucheza na kushinda mkwanja mrefu, ni Wild Hot 40 mchezo wa kasino wa matunda umekuwa pendwa sana na wachezaji wengi.
Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka kasino mtandaoni, inakuhakikishia ushindi mkubwa kwa kuwa ina Jackpot3 za ushindi ambazo ni Gold, Platinum na Diamond.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40
Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu5 na mistari40 ya malipo.
Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.
Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.