Home Habari za michezo KISA SIMBA KUFUNGWA JANA…MANARA ASHINDWA KUJIZUIA…AIBUKA NA ‘KICHAMBO KIPYA MJINI’..

KISA SIMBA KUFUNGWA JANA…MANARA ASHINDWA KUJIZUIA…AIBUKA NA ‘KICHAMBO KIPYA MJINI’..

Habari za Simba SC

Siku moja baada ya Simba SC kuondoshwa kwenye miashindano ya kombe la Shirikisho la Azam, Msemaji wa Yanga  Haji Manara ameibuka na kutupa jiwe la gizani.

Manara ambaye zaidi ya Misimu 5 nyuma alikuwa akifanya kazi Simba  kama Msemaji na Afisa habari, emibuka na kijembe kwenda kwa waajiri wake hao wazamani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara amesema kuwa sasa nchi imetulia, akimaanisha kuwa mashabiki wa Simba hawana cha kutamba tena,

Itakumbukwa kuwa , Simba SC imetolewa kwenye kombe hilo ambalo lilikuwa ni pekee walilokuwa wakishindania baada ya kupoteza matumaini ya kutwa ubingwa wa ligi kuu.

Simba pia walipoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Afrika baada ya kuondoshwa na Wydad Casablanca ya Morocco kwenye hatua ya Robo fainali.

Kwa kufungwa hapo jana na Azam FC, sasa Simba watamaliza msimu huu bila kushindwa taji lolote lile, kwani mataji yote ya ndani wameshatolewa na mengine hawakuweza kufua dafu.

Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara Ameandika….

“Morning Tanzania yangu Morning My People Morning Wananchi Morning Afrikaaaaaaa

Maana ya kilomolomo kwishnehi ndio hii sasa,

Nchi imetuliaaaaaaa, Tuliiiii, na hv ndivyo tunavyotaka Yanga Afrika.

SOMA NA HII  KAMATA ODDS ZA KUSHIBA KUTOKA MERIDIANBET KWENYE USIKU WA ULAYA LEO ....