Home Habari za michezo MERIDIANBET WAZIDI KUFANYA MAAJABU SOKA LA BONGO…WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO MABIBO..

MERIDIANBET WAZIDI KUFANYA MAAJABU SOKA LA BONGO…WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO MABIBO..

Meridianbet

Ikiwa ni siku nyingine kabisa Kampuni ya kubashiri Meridianbet ilipata wasaa mzuri wa kukutana na timu ya mpira ya Mabibo Boys na kuwapatia vifaa vya michezo kama vile jezi na mipira ambayo itawasaidia wanapokuwa wanacheza mechi mbalimbali.

Ugawaji huo wa vifaa vya michezo ulifanywa na timu nzima ya Meridianbet ambayo ilifunga safari moja kwa moja mpaka pale inapopatikana timu hiyo na kuonana na uongozi mzima wa timu ya Mabibo Boys na kuwapatia jezi na mpira huku Mkuu wa Masoko wa Meridianbet Matina Nkurlu akisema kuwa soka ni ajira hivyo ni vizuri kuwaunga mkono vijana.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Bwana Matina Nkurlu alisema kuwa Meridianbet iliamua kuwafikia Mabibo Boys kwasababu,

“Meridianbet tunaamini michezo ni Afya na ni Ajira hivyo kuwapa vifaa  vya michezo ndugu zetu wa Mabibo Boys ni katika kuhakikisha vijana hawa wanakua na afya njema lakini pia kupata ajira kupitia michezo, na tunatoa wito kwa makampuni mengine kushiri kikamilifu kuvisaidia hivi vituo vidogo vya michezo ili kuzalisha watu wengi wenye mafanikio kwenye michezo”

Vilevile baada ya kupokea vifaa hivyo michezo katibu wa timu ya Mabibo Boys alisema kuwa anashukuru kwa msaada huo kwani umekuja wakati sahihi kwakua timu yao ilikuwa na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo na mipira hivyo itakuwa Meridianbet wamewasaidia kutatua changamoto zao kuelekea kwenye mashindano.

Meridianbet imejiwekea utaratibu wa kutoa misaada sehemu mbalimbali hasa michezo na sehemu nyingine, kama taasisi ya michezo ya kubahatisha imekua ni utaratibu unaopaswa kuigwa.

 Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kampuni zingine ziige mfano kutoka Meridianbet kwa kurudisha kwa jamii kwani kuwaunga mkono vijana hasa katika soka itasaidia sana kuleta chachu ya maendeleo katika sekta ya michezo kwani vijana ndio Taifa la leo.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

SOMA NA HII  SIMBA WAOMBA 'POO' BODI YA LIGI....MBRAZILI AMTAJA BOCCO CAF...