Home Habari za michezo WAARABU WAPANGA KUIFUNGA YANGA SC KISTARABU KESHO…KOCHA WAO AANZA NGEBE…

WAARABU WAPANGA KUIFUNGA YANGA SC KISTARABU KESHO…KOCHA WAO AANZA NGEBE…

Habari za Yanga

Wakati Yanga SC wakijiandaa kuwavaa USM Algiers kutoka Algeria kwa mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho katika Uwanja wa Mkapa kesho Jumapili.

Kocha wa USM Algiers amesifu uungwana wa wenyeji wao na kusema kuwa hata ushindi wao kesho utakuwa wa kistaarabu.

“Tunataka kuwafunga Yanga SC kistaarabu kama ambavyo wametupokea kistaarabu hawajatufanyia Fujo kama ambavyo waliwafanyia Wengine walipokuja Hapa, kusema ukweli wametupa heshima so hatutaki kuondoa heshima hiyo kwa kuwafunga magoli mengi tunataka kuwafunga magoli mawili tu kistaarabu”

Mei 28 Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho itapigwa Jijini Dar kisha mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Juni 3.

SOMA NA HII  MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here