Home Habari za michezo IANZE WIKI YAKO KWA KUSHINDA MTINYO KIULAIINI KUPITIA CASINO YA KENO NDANI...

IANZE WIKI YAKO KWA KUSHINDA MTINYO KIULAIINI KUPITIA CASINO YA KENO NDANI YA MERIDIABET..

Meridianbet

Wataalamu wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio wamekuja na mchezo rahisi kushinda haijawahi kutokea duniani kote, ni mchezo wa Keno Instant unaokupa nafasi ya kuchagua namba unazohisi zitatokea kwenye mzunguko wa namba 80.

Unaweza kuucheza mchezo huu kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet pekee. Mchezo huu unapambwa na zawadi ambazo zinapendwa zaidi na wachezaji wa keno. Mchezo unaweza kukurudishia faida kati ya 96-96.71%, Instant Keno ni aina ya mchezo unaokupa nafasi ya ushindi zaidi.

Wild Lotto Ride

Mchezo wa Instant Keno unaanza kwa kuweka namba 80. Zimegawanyika kwenye rangi ya njano, nyekundu, kijani na blue (namba 20 kila moja).

Ili kuanza mchezo, unatakiwa kuweka ubashiri wako. Kuna machaguo mengi, dau la chini ni coin/sarafu 1 na la juu zaidi ni coin 7,500. Weka dau lolote unaloweza na kisha bofya kitufe cha ‘play’ kuanzisha mchezo.

Unaweza kuchagua namba moja au zaidi (zisizidi namba 10) au kuchagua kuanzia namba 2 mpaka 9 ambapo kila namba unayoichagua ina odds zake za ushindi. Utapaswa kubofya kitufe cha ‘Add’ ili kuweka namba upande wa kulia kama ilivyo kwenye tiketi ya lottery/bahati nasibu. Kisha, utaweka utabiri wako na kuanzisha mchezo.

Kinachotofautisha Instant Keno na michezo mingine ya kasino ya mtandaoni ni tabiri za ziada na ongezeko la namba. Kupitia tabiri za ziada, unaweza kutabiri rangi ya namba ya kwanza, jumla ya namba za kwanza, namba shufwa/witiri za mwanzo au mpangilio wa mstari wa namba za kwanza. Odds za kila tabiri za ziada zinaonekana upande wa kulia na zitaongeza faida yako kulingana na namba hiyo.

Mchezo huu unaopatikana madukani, kwenye mashine za sloti, na kasino ya mtandaoni pia unakupa nyongeza zisizo na mpangilio (0.5, 1 au 2) kwenye ushindi wako kabla ya namba kutolewa. Malipo yatategemea idadi ya namba zitakazotolewa na idadi ya namba ulizopatia. Ni sawa na dau lako la awali likizidishwa na idadi ya ongezeko moja. Kadiri unavyochagua namba nyingi, ndivyo unavyopata malipo makubwa.

Ongeza tabiri za ziada kwenye mchanganyiko, itadhihirisha kwanini Instant Keno kutoka Expanse ni mchezo bora wa keno kutoka kasino ya mtandaoni.

Inapatika Meridianbet Pekee.

Michezo yote kutoka Expanse Studios inapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet ni vivyo hivyo kwenye Instant Keno. Hutoupata kwingine popote. Meridianbet wanakupatia mchezo huu bure au kwa pesa halisi, hautakuwa umejitendea haki kama utakosa burudani ya mchezo huu.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

SOMA NA HII  MCHAMBUZI HUYU MKONGWE...AWAVAA MAREFA LIGI KIUU...WANAAPIMWA MACHO?