Home Habari za michezo SHIKILIA HII….KILA BAADA YA DAKIKA TANO….CHOTA PESA KUPITIA CASINO HII YA MERIDIANBET…

SHIKILIA HII….KILA BAADA YA DAKIKA TANO….CHOTA PESA KUPITIA CASINO HII YA MERIDIANBET…

Meridianbet

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kutokana na urahisi wake kwenye kucheza huku ukitoa nafasi za ushindi kila dakika. Meridianbet kasino ya Mtandaoni, inakupa fursa ya kucheza Keno mtandaoni.

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye orodha ya namba 1 mpaka 80.

Huu ni mchezo wa bahati nasibu, ukiwa na bahati sana utashinda pesa nyingi zaidi. Keno ni moja ya mchezo unaopendwa na wachezaji wengi wa Meridianbet madukani na mtandaoni.

Hatua za Kucheza na Kushinda Keno

Unapoufungua mchezo wa keno, utaona ubao unaoonesha namba 1 mpaka 80. Mteja ataamua anataka kuweka dau la kiasi gani? Dau lako unaloweka linakupa ushindi stahiki.

Baada ya mteja kuweka dau, atachagua namba zake 10 za bahati anazoamini zitatokea kwenye mzunguko, baada ya kukamilisha hatua hizi, mteja atasubiri matokeo ya droo husika kutokea.

Ushindi wa Keno Unapatikanaje?

Ushindi wa Keno ya Meridiabet moja ya kasino ya mtandaoni unategemea idadi ya namba ulizochagua na zile zilizotokea kwenye droo husika! Kama ukipatia namba mbili basi ushindi wako utakuwa ni mara 2 ya dau uliloweka! Kama ukichagua namba zote na zikatokea basi utakuwa miongoni mwa mamilionea wa kila siku!

Jiunge sasa na Meridianbet ufaidi odds kubwa, bonasi na promosheni kabambe! Na mteja mpya anapatiwa zawadi ya mizunguko kibao ya bure kucheza kasino ya mtandaoni. Hii sio ya kukosa, jisajili hapa.

SOMA NA HII  KAMATA MGAO WA MIL 2.5 KUTOKA MERIDINABET KWA KUCHEZA MCHEZO WA MASCOT...