Home Habari za michezo BAADA YA THANK YOU ZA KUTOSHA SIMBA, SASA NI ZAMU YA KAPOMBE

BAADA YA THANK YOU ZA KUTOSHA SIMBA, SASA NI ZAMU YA KAPOMBE

CHAMA ASHTUSHWA KAPOMBE NA TSHABALALA KUACHWA STARS WADAU WAZUNGUMZA

Mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya kikosi cha Simba SC hadi mwaka 2025.

Tangu alivyorejea kwa mara ya pili mwaka 2017 kutoka Azam FC, Kapombe amekuwa mchezaji wa kikosi cha kwanza mpaka sasa licha ya kupita kwa makocha tofauti ndani ya kikosi cha Wekundu hao wa Msimbazi.

Licha yakuwa mchezaji muhimu ndani ya timu, sifa yake nyingine kubwa beki huyo ni miongoni mwa wachezaji wenye nidhamu hivyo ni mfano wa kuigwa na vijana wanaochipukia kwenye soka la Bongo.

SOMA NA HII  ROBERTINHO ASEMA HAYA KUHUSU ONANA, NGOMA SIMBA HAPAKALIKI TENA