Home Habari za michezo KOCHA MPYA WA YANGA ATUA BONGO KIBABE, AJA NA MPANGO HUU

KOCHA MPYA WA YANGA ATUA BONGO KIBABE, AJA NA MPANGO HUU

Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga,Miguel Angel Gamondi amewasili Nchini Alfajiri ya leo tayari kwa maandalizi ya kambi ya kujiandaa na Msimu Mpya yatakayoanza Jumatatu ya wiki ijayo.

Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga,Miguel Angel Gamondi amewasili Nchini Alfajiri ya leo tayari kwa maandalizi ya kambi ya kujiandaa na Msimu Mpya yatakayoanza Jumatatu ya wiki ijayo. Kocha huyo rasmi ataanza kazi Rasmi Julai 10 kambini Avic Town na Wachezaji watakaoingia kambini siku ya kwanza.

SOMA NA HII  MBADALA WA MIQUISSONE AREJEA SIMBA...HITIMANA NI FULL SHANGWE...