Home Habari za michezo MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI ,APATA DILI HILI

MGUNDA SIMBA MAMBO SAFI ,APATA DILI HILI

MGUNDA SIMBA TUNAUTAKA UBINGWA LIGI KUU...

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri.

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza kocha Juma Mgunda kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana na pia ataingia katika timu zote za Simba kama mshauri. Akitoa taarifa hiyo Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula amesema Kocha Mgunda ana uzoefu mkubwa atatumika katika timu za vijana,timu ya wanawake na hata timu ya kubwa ya Simba SC.

SOMA NA HII  KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO....DTB YATIA 'MCHANGA KITUMBUA' CHA IHEFU...'YAIGONGA CHA NGURUWE CHWAAAW'...