Home Habari za michezo HUKO SIMBA KIMEUMANA MWAMBA AGOMA KUTOLEWA KWA MKOPO

HUKO SIMBA KIMEUMANA MWAMBA AGOMA KUTOLEWA KWA MKOPO

Tetesi za Usajili Simba

Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba , winga wao Jimmyson Mwinuke amegoma kutolewa kwa Mkopo kwenda klabu nyingine huku akinishikiza avunjiwe mkataba wake.

Awali taarifa zinadai kuwa Simba ipo kwenye mipango ya kumtoa kwa Mkopo winga huyo kabla ya dirisha kubwa la msimu huu kufungwa.

Mwanuke amekuwa hana nafasi ya kuanza katika kikosi cha Simba tangu asajiliwe misimu mitatu iliyopita akitokea Gwambina FC.

Je, avunjiwe Mkataba au apewe nafasi? Tupe maoni yako

SOMA NA HII  SABABU ZA SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO MBRAZILI ZAWEKWA WAZI