Home Habari za Simba MWENYEKITI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIA

MWENYEKITI WA SIMBA SC AFARIKI DUNIA

Tetesi za Usajili Simba

SIMBA SC imetangaza kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Ayubu Saleh Chamshama aliyefariki Agosti 11, 2023 akiwa hospitali nchini India.

Taarifa ya klabu hiyo imeeleza kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Soud Chamshama msiba utakuwa nyumbani kwake Chang’ombe Maduka Mawili.

Aidha, mazishi yatafanyika Leo kijiji cha Kilole Lushoto mkoani Tanga.

Uongozi wa Simba umetoa pole kwa ndugu, jamii na marafiki walioguswa na msiba.

tanzia

SOMA NA HII  USAJILI BONGO...NI WEKA KIGINGI..NIWEKE CHUMA....YANGA ,SIMBA NA AZAM 'ZAUANA'...