Home Uncategorized SIMBA WARUDI DAR KINYONGE, MASHABIKI WATAMBIANA WAKIWAPOKEA

SIMBA WARUDI DAR KINYONGE, MASHABIKI WATAMBIANA WAKIWAPOKEA

 

Kikosi cha Simba leo Januari 14, 2021 kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar baada ya kukosa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kufungwa na  watani wao, Yanga kwa penalti 4-3, katika fainali ya Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.




SOMA NA HII  WATANZANIA WALIZWA NA DILI LA SAMATTA, WASHANGAZWA NA ASTON VILLA