Home Habari za michezo SIMBA WATUA DAR KIBABE , CHEKI BAKAA LAO WAKITIKEA UTURUKI

SIMBA WATUA DAR KIBABE , CHEKI BAKAA LAO WAKITIKEA UTURUKI

Kikosi cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Zambia, Power Dynamo katika Simba Day Uwanja wa BenjamΓ­n Mkapa Jijini Dar es Salaam

Simba waliweka Kambi ya wiki tatu nchini Uturuki. Tazama hapa chini msafara wa kikosi cha Simba ukiwasili Jijini Da es Salaam.

SOMA NA HII  BEKI MPYA WA SIMBA AFUNGUKA KILICHOMSHAWISHI KUJIUNGA NA KLABU HIYO