Habari za Michezo
Habari za michezo

WALIOFUNGWA 6-0 NA SIMBA WAKANA KUCHEZA MECHI LEO…ISHU IKO HIVI KUMBE..

admin September 9, 2023 8:18 pm

Timu ya Ngome kutoka kisiwani Unguja imekana kufungwa goli 6 na klabu ya Simba kama walivyochapisha kwenye Ukurasa wao wa instagram.

Akizungumza mchezaji wa timu hiyo @kibadeni_jr amesema:

“Hatujacheza mechi na Simba na sijui hizo taarifa zimetoka wapi, leo asubuhi tumefanya mazoezi katika uwanja wetu.

Sio Simba tu, hata KMC FC iliwahi kutoa chapisho ya kutufunga wakati sisi hatujacheza nao”.

Soma taarifa rasmi ya Klabu ya Ngome FC hapa chini, kisha tupe maoni yako.

KUHUSU ISHU YA KUSAFIRISHA MASHABIKI….PRIVALDINHO ‘AMLIPUA VIBAYA’ AHMED ALLY… MCHAMBUZI:- KAKOLANYA HAKUNA ALILOLIFANYA DHIDI YA ALGERIA…HATUKUONYESHA KIWANGO…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply