Habari za Yanga
Habari za michezo

YANGA YAWEKA REKODI HII YA KIPEKEE LIGI KUU

Staff Desk September 22, 2023 3:12 pm

Timu Tisa zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2023/24 ambazo ni;

Tanzania Prisons

Coastal Union

Kagera sugar

JKT Tanzania

Namungo

Ihefu,

Singida Big stars

Geita Gold

Timuzote hizo pamoja zimefunga mabao 11 mpaka sasa baada ya michezo mitatu ya Ligi.

Idadi hiyo ya mabao 11 ni sawa na mabao yaliyofungwa na klabu Moja tu ya Young Africans kwenye michezo mitatu waliyoicheza hadi sasa ya Ligi

AHAMED ALLY AJA NA JIPYA KUHUSU KRAMO, ISHU IKO HIVI GAMONDI AFANYA KILA KITU MAPEMA SANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply