Home Habari za michezo AFCON KULETA NEEMA HUU HAPA UWANJA MPYA UTAKAOJENGWA ARUSHA

AFCON KULETA NEEMA HUU HAPA UWANJA MPYA UTAKAOJENGWA ARUSHA

Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 ikishirikiana na Kenya na Uganda.

Uwanja huo utakaojengwa katika Kata ya Olmoti utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 30,000

SOMA NA HII  YANGA AKILI YOTE KWA AL MARREIKH,..... AZIZI K NIPENI MAUA YANGU