Home Uncategorized STARS WAONDOKA KIBABE KUWAFUATA BURUNDI KWAO

STARS WAONDOKA KIBABE KUWAFUATA BURUNDI KWAO


Wachezaji wa Timu ya Taifa wameondoka leo asubuhi Septemba 3, 2019 kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi mchezo wa Kwanza utachezwa Burundi Septemba 4 na marudiano Uwanja wa Taifa Septemba 8, 2019

SOMA NA HII  NYOTA SABA KUJIUNGA LEO NA TIMU YA TAIFA, MMOJA TAARIFA ZAKE HAZIFAHAMIKI