Home Habari za michezo SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA

SIMBA YACHAPWA FAINI NA BODI YA LIGI KISA HIKI HAPA

Habari za Simba SC

Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.

Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu Kiongozi mmoja wa Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara Kati ya Simba SC dhidi ya Coastal Union, ulipigwa katika uwanja wa Uhuru.

Simba SC ilishinda mchezo huo kwa mabao matatu kwa sifuri.

SOMA NA HII  SAIDO ATANGAZA VITA, AKILI YOTE KWENYE KIATU SASA

2 COMMENTS