Home Habari za michezo HIZI SALAMU ZA SIMBA KWA WAZIMBIA SASA NI KUTISHANA HUKU

HIZI SALAMU ZA SIMBA KWA WAZIMBIA SASA NI KUTISHANA HUKU

Habari za Simba SC

Leo Septemba 26 Timu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan African na kuibuka na ushindi wa magoli 4-0.

Simba wako katika maandalizi ya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabinwa Afrika utakaopigwa Oktoba 1.

Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Saido, Phiri, Kibu na Onana.

SOMA NA HII  STAA WA YANGA ANAYEUZA MISHIKAKI....AFUNGUKA A-Z JINSI MO DEWJI ALIVYOMTIMUA BILA HURUMA...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here