Home Habari za michezo KUHUSU KUFELI KWA YANGA HERSI ASEMA MANENO HAYA

KUHUSU KUFELI KWA YANGA HERSI ASEMA MANENO HAYA

Habari za Yanga

Yanga hatujaja hapa [Rwanda] kufanya utalii, tumekuja kutafuta ushindi. Wapo watu wanaoweza kuomba dua ili tushinde, wafanye hivyo. Viongozi tupo kuhakikisha wachezaji wanatoa damu na jasho ili timu ishinde.

Wachezaji siku hizi wanataka ‘mzigo’ ili wakimaliza shughuli uwanjani mifuko yao icheke. Lakini kabla ya yote hayo tumesajili kikosi imara ili kitupe matokeo, haya mengine yote hayawezi kufanya kazi kama una timu mbovu.

Chini ya uongozi wangu Yanga itaendelea kupanda tu! Mimi kama Rais wa klabu hii nawaambia hatuwezi kufeli na mimi sijawahi kufeli mtihani katika mtihani wowote.

SOMA NA HII  AHMED ALLY AJIBU SUALA LA JEZI YA MANULA...KUVALIWA NA MANULA